PHARMACEUTICAL SCIENCES

Working Hours: Mon-Fri, 08am-5pm
Kozi ya Ufamasia (Pharmaceutical Sciences) 2026 – Kolandoto College Tuma Maombi Sasa
Pharmaceutical Sciences · Kolandoto College

Idara ya Ufamasia
(Pharmaceutical Sciences)

Karibu katika Idara ya Ufamasia. Tunatoa elimu bora ya sayansi ya dawa, utayarishaji, na usimamizi wa dawa kwa viwango vya kimataifa.

Kuripoti: Septemba 2026 Muda: Miaka 2 Ada: TZS 1,600,000/mwaka Hostel Inapatikana
Tuma Maombi Online

Kozi ya Ufamasia (Pharmaceutical Sciences)

Ordinary Diploma · Muda wa Masomo: Miaka 2 · Intake: Septemba 2026

Ufamasia (Pharmacy) ni fani inayohusika na sayansi ya dawa, kuanzia ugunduzi, uzalishaji, udhibiti wa ubora, hadi matumizi salama ya dawa kwa wagonjwa. Katika Kolandoto College, tunatoa mafunzo yanayomjengea mwanafunzi ujuzi wa kitaalamu katika kusimamia dawa na kutoa huduma bora za afya.

Mwanafunzi wa Ufamasia – Kolandoto College

Majukumu ya Mfamasia

  • Kutoa Dawa (Dispensing): Kutoa dawa kwa usahihi kulingana na maelekezo ya daktari.
  • Ushauri wa Dawa: Kuelimisha wagonjwa kuhusu matumizi sahihi na athari za dawa.
  • Usimamizi wa Dawa: Kuhakikisha dawa zinahifadhiwa vizuri na hazijaisha muda wake.

Fursa za Ajira

  • Maduka ya Dawa (Community Pharmacies) na Hospitali.
  • Viwanda vya Dawa na Uzalishaji.
  • Taasisi za Udhibiti (kama TMDA) na Utafiti.

Fursa za Kujiendeleza (Career Advancement)

  • Bachelor of Pharmacy (BPharm): Shahada ya Ufamasia ili kuwa Mfamasia Kamili (Pharmacist).
  • Industrial Pharmacy: Kubobea katika uzalishaji wa dawa viwandani.
  • Clinical Pharmacy: Kubobea katika matumizi ya dawa wodini kwa wagonjwa.

Sifa na Mahitaji Maalum

Sifa za Kitaaluma

Kidato cha Nne (CSEE) chenye ufaulu wa "D" nne (4). Lazima zihusishe masomo yasiyo ya dini: Chemistry na Biology (Ni Muhimu), pamoja na Physics/Engineering Sciences.

* Ufaulu katika English na Mathematics ni nyongeza nzuri.

Mahitaji ya Mwanafunzi

  • Laptop au Smartphone (Kwa ajili ya kujifunzia)
  • Scientific Calculator
  • Koti la Maabara (White Lab Coat)
  • Ream Paper 2 (Double A) & 1 Box of Surgical Gloves
  • Daftari na Vifaa vya Kuandikia

Malazi (Accommodation)

Ada ya Hostel ni TZS 300,000 kwa mwaka. Mwanafunzi aje na:

  • Godoro (Size 2.5" × 6")
  • Ndoo (Bucket)
  • Chandarua (Mosquito Net)
  • Vyombo vya chakula (Hotpot)
Wanafunzi wa Kolandoto College

Tayari kukidhi vigezo?

Wasilisha maombi yako sasa hivi mkondoni bila ada yoyote ya awali.

Jaza Fomu Online

Ada na Michango (Mwaka 2026)

✓ Confirmed 2026 Intake

Ada ya Mafunzo (Tuition Fee)

Jumla kwa mwaka mmoja
TZS 1,600,000
Semester 1 1,000,000
Semester 2 600,000

Jinsi ya Kulipa (Payment Instructions)

Muhimu: Usilipe Pesa Taslimu!

Lazima upate Control Number kabla ya kulipa. Piga simu Ofisi ya Uhasibu:

0621 521 2784  |  0615 801 748

Fomu ya Kujiunga (Joining Instruction)

Joining Instructions – Kolandoto College 2026

Bonyeza "Angalia Hapa" ili kuona PDF moja kwa moja.

Pakua Fomu ya Kujiunga

Fomu hii ina maelekezo yote ya kujiunga (Joining Instructions), fomu ya matibabu (Medical Form), na utaratibu wa malipo.

Pakua PDF (Joining Instruction)
 Vitu vilivyomo kwenye Fomu
  • Joining Instructions (Maelekezo ya Kujiunga)
  • Medical Form (Fomu ya Matibabu)
  • Utaratibu wa Malipo na Akaunti
  • Orodha ya Vifaa vya Kuleta
  • Tarehe ya Kuripoti

Ukubwa wa Faili: ~2MB  |  Format: PDF

Maswali ya Kawaida (FAQ)

Unahitaji ufaulu wa "D" nne (4) katika CSEE, lazima ukijumuishe Chemistry na Biology kama masomo ya msingi. Physics/Engineering Sciences pia inashauriwa. Ufaulu katika English na Mathematics ni nyongeza nzuri.
Ndio, hostel inapatikana. Ada ya malazi ni TZS 300,000 kwa mwaka. Mwanafunzi aje na godoro (2.5" × 6"), ndoo, chandarua, na vyombo vya chakula.
Ni lazima upate Control Number kabla ya kulipa. Piga simu Idara ya Uhasibu: 0621 521 2784 au 0615 801 748. Tuition fee inalipwa kwenye akaunti ya CRDB namba 0150605342100. Usililipe pesa taslimu bila Control Number.
Kozi ya Ordinary Diploma in Pharmaceutical Sciences huchukua miaka miwili (2). Mwanzo wa masomo ni mwezi Septemba 2026.
Ndio. Unaweza kusomea Bachelor of Pharmacy (BPharm) kuwa Mfamasia Kamili, kubobea katika Industrial Pharmacy (viwandani), au Clinical Pharmacy (wodini kwa wagonjwa).
v