APPLY NOW

Malipo ya Maombi - Kolandoto College

KOLANDOTO COLLEGE MWANZA

Mchakato wa Malipo ya Maombi (Application Fee)

GHARAMA: TSH. 20,000/=
Malipo kwa Kozi za Afya

Jinsi ya Kulipia (M-PESA)

1
Piga Simu

Bonyeza *150*00#

2
Chagua Huduma

Chagua Namba 1 "TUMA PESA"

3
Weka Namba

Chagua Namba 1 "WEKA NAMBA YA SIMU"

4
Ingiza Namba ya Mpokeaji

+255 748 000 152

5
Weka Kiasi

Weka: TSH 20,000

6
Thibitisha

Weka NAMBA YAKO YA SIRI. Jina litasomeka:

KOLANDOTO COLLEGE MWANZA
Maliza

Bonyeza Namba 1 KUTHIBITISHA.

Mfano wa Ujumbe utakaopokea, hapo utaona namba maalum(code) ya muamala, ambayo utaikopi kwenye fomu:

M-PESA Sasa hivi

Z48D123 Imethibitishwa.

Umetuma Tsh 20,000 kwa KOLANDOTO COLLEGE MWANZA. Salio lako jipya ni Tsh XXXXX.

Malipo Yamekamilika
MUHIMU SANA
  • Email: Kabla hujaanza kujaza Online Admission, hakikisha una anuani ya barua pepe (Email Address) inayofanya kazi.
  • Simu: Jaza namba ya simu yako au ya mzazi ambayo INAYOPATIKANA muda wote.

Apply Online

andika email yako
Andika Uraia wako hapa
makazi yako kwa sasa
Tarehe yako ya kuzaliwa
Andika namba ya mtihani ya kidato cha nne
mwaka ulio maliza kidato cha nne
Unapenda kujiunga na kozi gani
jina la wilaya inayoishi
andika namba ya simu inayopatikana
andika namba yako ya simu ya pili kama Unayo
namba ya simu ya Mzazi au Mlezi
Chagua ngazi ya ufaulu wa somo hili
Chagua ngazi ya ufaulu wa somo hili
Chagua ngazi ya ufaulu wa somo hili
Andika masomo mengine uliyo faulu, kwa Alama D na zaidii , Kwa mfano Geography D, Mathematics, C,
Je, wewe ni mwanafunzi unayeendelea na masomo yako na unataka kujiunga na ngazi ya juu zaidi?

Fields with (*) are compulsory.