APPLY NOW

KUKAMILISHA MAOMBI YAKO TAFADALI FUATA MAELEKEZO YAFUATAYO

 1. LIPIA TSH. 20000/= KWA MAOMBI YA KOZI ZA AFYA YAANI UFAMASIA, UTABIBU
 2. NAMBA YA KUFANYA MALIPO KWA NJIA YA MPESA NI ***0752197579***. JINA   “KOLANDOTO COLLEGE MWANZA”.
 3. NAMBA YA MALIPO YA MPESA YAANI “MPESA CODE” UTAIANDIKA SEHEMU INAYOTAKIWA.

NB: USIFANYE MALIPO KWENYE NAMBA NYINGINE YEYOTE TOFAUTI NA HIO


JINSI YA KUFANYA MALIPO (KWA NJIA YA MPESA )

 1. BONYEZA *150*00#
 2. NENDA NAMBA 1. “TUMA PESA”
 3. CHAGUA NAMBA 1 “WEKA NAMBA YA SIMU”
 4. WEKA NAMBA YA SIMU AMBAYO NI “0742155623”
 5. WEKA KIASI AMBACHO NI TSH 20,000/= 
 6. WEKA NAMBA YAKO YA SIRI
 7. KISHA ITALETA JINA “KOLANDOTO COLLEGE MWANZA” 
 8. BONYEZA NAMBA 1 KUTHIBITISHA
 9. HAPO UTAKUA UMEFANIKISHA KUTUMA ADA YA MAOMBI
 10. UTAPATA UJUMBE WA KUFANIKIWA KUTUMA PESA NA MPESA CODE

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA 0752197579,0755944061

NB:KWA WAOMBAJI WOTE HAKIKISHA UMEAMBATANISHA CHETI CHA FORM FOUR
WANAOOMBA KOZI UPGRADING HAKIKISHA CHETI CHA LEVEL 5 NA TRANSCRIPT VIWE VIMESKANIWA KAMA DOCUMENT MOJA. CHETI CHA FORM FOUR KIWE ATTACHED SEPARATELY.

Apply Online

Andika Uraia wako hapa
ratehe yako ya kuzaliwa
namba ya mtihani ya kidato cha nne
makazi yako
mwaka ulio maliza kidato cha nne

Fields with (*) are compulsory.