Idara ya Utabibu / Udaktari
Karibu katika Idara ya Utabibu (Clinical Medicine). Tunatoa elimu bora ya udaktari kwa vitendo na nadharia.
Tarehe ya Kuripoti: September 2026
Kozi ya Utabibu (Clinical Medicine)
Tabibu (Clinical Officer) ni kiungo muhimu katika sekta ya afya. Kozi hii inamjengea mwanafunzi uwezo wa kutambua (Diagnosis) na kutibu (Treatment) magonjwa mbalimbali.
Mambo Muhimu Utakayojifunza
- Utambuzi wa magonjwa kwa vipimo.
- Upasuaji mdogo (Minor Surgery).
- Afya ya Jamii na Uzazi.
Fursa za Ajira
- Hospitali za Serikali, Binafsi na Mashirika ya Dini.
- Kusimamia Zahanati au Vituo vya Afya.
- Kujiendeleza zaidi (MD - Medical Doctor).
Fursa za Kujiendeleza (Career Advancement)
Baada ya kuhitimu Diploma (Clinical Officer), unaweza kujiendeleza kwa kusoma:
- Assistant Medical Officer (AMO): Advanced Diploma in Clinical Medicine.
- Medical Doctor (MD): Shahada ya Udaktari (Bachelor of Medicine).
- Specialized Courses: Utawala wa Afya (Health Management), Public Health, nk.
Sifa na Mahitaji Maalum
Sifa za Kitaaluma
Kidato cha Nne (CSEE) chenye ufaulu wa "D" nne (4). Lazima zihusishe: Biology, Chemistry, na Physics.
Mahitaji ya Mwanafunzi (Equipment)
Vifaa hivi lazima uje navyo:
- Laptop au Smartphone (Kwa ajili ya kujifunzia)
- Clinical Thermometer & BP Machine
- Stethoscope & Pen Torch
- Ream Paper 2 (Double A) & 1 Box of Surgical Gloves
- Tape Measure & Patella Hammer
Malazi (Accommodation)
Ada ya Hostel ni TZS 300,000 kwa mwaka. Mwanafunzi aje na:
- Godoro (Size 2.5" x 6")
- Ndoo (Bucket)
- Chandarua (Mosquito Net)
- Vyombo vya chakula (Hotpot)
Ada na Michango (Mwaka 2026)
Confirmed: 2026 IntakeAda ya Mafunzo (Tuition Fee)
Jumla kwa mwaka mmoja
Michango Mingine (Other Contributions)
- Mitihani ya Ndani (Internal Exams) 550,000
- Maendeleo ya Chuo 100,000
- Library & ICT Services 100,000
- Hostel/Accommodation (Optional) 300,000
- Jumla (Bila Hostel) 750,000
Gharama za Moja kwa Moja (Direct Costs)
Zinalipwa kwenye akaunti ya Development
- Sare za Chuo (Uniforms) 120,000
- MoH Examination Fee 150,000
- Bima ya Afya (NHIF) * 60,000
- Quality Assurance (NACTVET) 20,000
- Serikali ya Wanafunzi 15,000
- Kitambulisho & Usajili 20,000
- Procedure/Log Books 10,000
- Jumla Kuu 395,000
* NHIF ni lazima kama huna kadi.
Jinsi ya Kulipa (Payment Instructions)
1. Kwa Tuition Fee & Michango (Accommodation/Exams):
0150605342100
CRDB - Kolandoto College of Health Sciences
2. Kwa Direct Costs (Uniform, NHIF, etc.):
0150552167400
CRDB - AICT KCHS DEVELOPMENT
Lazima upate Control Number kabla ya kulipa. Piga simu Ofisi ya Uhasibu:
06215212784 au 0615801748
Fomu ya Kujiunga (Joining Instruction)
Pakua Fomu ya Kujiunga
Fomu hii ina maelekezo yote ya kujiunga (Joining Instructions), fomu ya matibabu (Medical Form), na utaratibu wa malipo.
Pakua PDF (Joining Instruction)Ukubwa wa Faili: 2MB | Format: PDF
Mawasiliano ya Idara
Mawasiliano Muhimu
Idara ya Uhasibu
Udahili na Usajili
Mkuu wa Idara
Mahali Tulipo
Kolandoto College ipo kilomita 18 kutoka Mwanza Jiji, karibu na Mahakama ya Mwanzo Kisesa.
info@kchsm.ac.tzContact Information
- Kolandoto College of Health and Allied Sciences, Mwanza Campus
- P.O. BOX 2148,Kisesa, Mwanza, Tanzania
- +255620339260
- +255752197579
- info@kchsm.ac.tz
- www.kchsm.ac.tz
Registration Details
- Registration No: REG/HAS/235
- Establishment Date: 14 January 2021
- Registration Date: 9 February 2024
- Ownership: FBO
© 2025 Kolandoto College of Health and Allied Sciences, Mwanza Campus. All rights reserved.