Working Hours: Mon-Fri, 08am-5pm
KOLANDOTO COLLEGE MWANZA
Mchakato wa Malipo ya Maombi (Application Fee)
GHARAMA: TSH. 20,000/=
Malipo kwa Kozi za Afya
Jinsi ya Kulipia (M-PESA)
1
Piga Simu
Bonyeza *150*00#
2
Chagua Huduma
Chagua Namba 1 "TUMA PESA"
3
Weka Namba
Chagua Namba 1 "WEKA NAMBA YA SIMU"
4
Ingiza Namba ya Mpokeaji
+255 748 000 152
5
Weka Kiasi
Weka: TSH 20,000
6
Thibitisha
Weka NAMBA YAKO YA SIRI. Jina litasomeka:
KOLANDOTO COLLEGE MWANZA
Maliza
Bonyeza Namba 1 KUTHIBITISHA.
Mfano wa Ujumbe utakaopokea, hapo utaona namba maalum(code) ya muamala, ambayo utaikopi kwenye fomu:
M-PESA
Sasa hivi
Z48D123 Imethibitishwa.
Umetuma Tsh 20,000 kwa KOLANDOTO COLLEGE MWANZA. Salio lako jipya ni Tsh XXXXX.
Malipo Yamekamilika
MUHIMU SANA
- Email: Kabla hujaanza kujaza Online Admission, hakikisha una anuani ya barua pepe (Email Address) inayofanya kazi.
- Simu: Jaza namba ya simu yako au ya mzazi ambayo INAYOPATIKANA muda wote.
Kwa msaada zaidi, wasiliana na utawala wa chuo.