CLINICAL MEDICINE

Idara ya Utabibu (Clinical Medicine) - Kolandoto College
Working Hours: Mon-Fri, 08am-5pm
Tuma Maombi Sasa

Idara ya Utabibu / Udaktari

Karibu katika Idara ya Utabibu (Clinical Medicine). Tunatoa elimu bora ya udaktari kwa vitendo na nadharia.
Tarehe ya Kuripoti: September 2026

Tuma Maombi Online

Kozi ya Utabibu (Clinical Medicine)

Tabibu (Clinical Officer) ni kiungo muhimu katika sekta ya afya. Kozi hii inamjengea mwanafunzi uwezo wa kutambua (Diagnosis) na kutibu (Treatment) magonjwa mbalimbali.

Mambo Muhimu Utakayojifunza

  • Utambuzi wa magonjwa kwa vipimo.
  • Upasuaji mdogo (Minor Surgery).
  • Afya ya Jamii na Uzazi.

Fursa za Ajira

  • Hospitali za Serikali, Binafsi na Mashirika ya Dini.
  • Kusimamia Zahanati au Vituo vya Afya.
  • Kujiendeleza zaidi (MD - Medical Doctor).

Fursa za Kujiendeleza (Career Advancement)

Baada ya kuhitimu Diploma (Clinical Officer), unaweza kujiendeleza kwa kusoma:

  • Assistant Medical Officer (AMO): Advanced Diploma in Clinical Medicine.
  • Medical Doctor (MD): Shahada ya Udaktari (Bachelor of Medicine).
  • Specialized Courses: Utawala wa Afya (Health Management), Public Health, nk.